Friday, November 19, 2010

Hivi kweli unaweza kumuiga huyu? Watoto wake wanamchukulia ni Mama mwema lakini sijui kama wanaweza kumuiga katika staili hii.

Sijui kama unaweza kutambua hii inayochezwa hapa ni ngoma ya kabila gani Tanzania hii?

No comments:

Post a Comment