Friday, November 19, 2010

Baadhi ya Waandishi wa Habari walioshiriki kwenye semina ya kujifunza jinsi ya kutumia Internet kwa ufasaha ambayo ilifanyika Mkoani Arusha. Semina hiyo iliwashirikisha Wana habari kutoka kanda ya kaskazini, Mikoa ya Arush, Kilimanjaro, Tanga na Manyara ambapo iliandaliwa na MISA-Tanzania.





No comments:

Post a Comment